Kaunti ya Nandi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Kaunti ya Nandi''' ni mojawapo ya [[kaunti za Kenya]] zilizopo baada ya [[katiba ya Kenya|katiba mpya]] ya [[Jamhuri ya Kenya]] kupatikana [[mwaka]] [[2010]].
 
Wakati wa [[sensa]] ya [[mwaka]] [[2019]] wakazi walikuwa 885,711 katika eneo la [[km2]] 2,855.8, [[msongamano]] ukiwa hivyo wa [[watu]] 310 kwa [[kilometa mraba]]<ref>https://www.knbs.or.ke/?wpdmpro=2019-kenya-population-and-housing-census-volume-i-population-by-county-and-sub-county</ref>.
 
[[Makao makuu]] yako [[Kapsabet]].