'''Bidii''' ni ile hali ya kuonyesha juhudi za dhati katika kufanya jambo fulani.Tunaweza, kufanyakwa bidii katika shughuli fulani na hatamfano [[Darasa|darasani]]. pia.Bidii ya [[mtu]] inaweza ikamfanya mtu afikie malengo makubwa anayotaka na kujiona yeye ni wajuuwa juu. Pamoja na yote hayo sisi [[binadamu]] huwa tunafanya bidii ili tufikie malengo yetu tunayoyataka.
Kwa kawaida tunaweza kuchochea bidii yetu na ya wengine ama kwa [[hamasa]] au [[motisha]] fulani ama kwa kitisho au [[adhabu]] fulani.