Abati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
 
Mstari 1:
[[Image:StPakhom.jpg|thumb|Picha ya Ki[[Misri|misri]] ya [[Pakomi]], mwanzilishi wa [[umonaki wa kijumuia]].]]
[[Image:BendeiktBenedikt von Nursia in Muensterschwazach.jpg|thumb|[[Benedikto wa Nursia]], akishika [[bakora]] na [[kanuni]] yake ([[Münsterschwarzach]], [[Ujerumani]]).]]
[[File:Template-Abbot - Provost.svg|right|thumb|[[Ngao]] ya abati asiye [[askofu]], anayeongoza [[abasia]] ya kawaida. Ile ya abati anayeongoza [[abasia ya kijimbo]] ina kofia ya kijani.]]
'''Abati''' (pia "abate") ni [[cheo]] cha mkuu wa [[monasteri]] yenye [[wamonaki]] wengiwengi (kwa kawaida 12 na zaidi) hasa katika [[Kanisa Katoliki]].