Lugha ya kwanza : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya 2A03:2880:31FF:11:0:0:FACE:B00C (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Tag: Rollback
No edit summary
Mstari 2:
'''Lugha ya kwanza''' ni [[lugha]] ambayo [[mtu]] anaiongea kama lugha yake ya kwanza tangu [[Utoto|utotoni]], [[umri]] ambamo ni rahisi zaidi kuathiriwa na [[mazingira]] na hivyo pia kujifunza kusema kama watu wa kandokando.
 
Pia lugha hiyo huitwa '''lugha mama''' (kwa [[Kiingereza]] "mother tongue") kwa vile watu wengi hujifunza lugha yao ya kwanza kutoka kwa [[mama]] [[mzazi]]. Lakini hiyo si lazima: mara nyingine mtoto halelewi na mama, au kama analelewatonglewa, anatumia muda mrefu zaidi na watoto wenzake (hasa shuleni), hivyo anazoea lugha yao kuliko ile ya nyumbani, hata kama ni tofauti kabisa.
 
Kwa sababu hiyohiyo wapo watu wenye lugha mama zaidi ya [[moja]].