ARPANET : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
'''Advanced Research Projects Agency Network''' ([[kifupi]]: '''ARPANET''') ulikuwa ndio mfumo wa kwanza wa [[intaneti]] kutumika, na mfumo wa kwanza kutumia [[TCP/IP]] protokali za kimuunganiko baina ya vifaa viwili vya kielektroniki. Misemo yote hii ndiyo inayotumika kiufundi katika kuielezea [[intaneti]].
 
ARPANET ilianzishwa na [[DARPA|''Advanced Research Projects Agency]]'' (ARPA) ya [[Marekani]] inayojihusisha na mambo ya kiusalama ya nchi hiyo.<ref name="LIARPANETTheFirstInternet">{{Cite web|title=ARPANET – The First Internet|url=https://www.livinginternet.com/internet/i/ii_arpanet.htm|website=Living Internet|access-date=2021-03-19}}</ref>
 
Katika harakati za kuendeleza mawazo ya [[J. C. R. Licklider]], [[Robert Taylor (mwanasayansi wa kompyuta)|Bob Taylor]] ndiyo yaliyopelekea kuzinduliwa kwa mradi huu wa ARPANET mnamo mwaka 1966 na kuwezesha kompyuta mbalimbali kuwasiliana.<ref>{{Cite news|url=http://movies2.nytimes.com/1999/12/12/technology/122099outlook-bobb.html|title=An Internet Pioneer Ponders the Next Revolution|date=December 20, 1999|work=The New York Times|access-date=2020-02-20|quote=Mr. Taylor wrote a white paper in 1968, a year before the network was created, with another ARPA research director, J. C. R. Licklider. The paper, "The Computer as a Communications Device," was one of the first clear statements about the potential of a computer network.|accessdate=2021-05-06|archivedate=2020-02-20|archiveurl=https://web.archive.org/web/20200220155211/http://movies2.nytimes.com/1999/12/12/technology/122099outlook-bobb.html}}</ref> Taylor alimteuwa [[Lawrence Roberts (mwanasayansi)|Larry Roberts]]