ARPANET : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Arpanet logical map, march 1977.png|300px|thumb|ARPANET mnamo Machi 1977.]]
[[File:Arpanet 1974.svg|thumb|upright=1.4|Ramani ya mtandao wa ARPANET mwaka 1974.]]
'''Advanced Research Projects Agency Network''' ([[kifupi]]: '''ARPANET''') ulikuwa ndio mfumo wa kwanza wa [[intaneti]] kutumika, na mfumo wa kwanza kutumia [[''TCP/IP]]'' protokali za kimuunganiko baina ya vifaa viwili vya kielektroniki. Misemo yote hii ndiyo inayotumika kiufundi katika kuielezea [[intaneti]].
 
ARPANET ilianzishwa na ''Advanced Research Projects Agency'' (ARPA) ya [[Marekani]] inayojihusisha na mambo ya kiusalama ya nchi hiyo.<ref name="LIARPANETTheFirstInternet">{{Cite web|title=ARPANET – The First Internet|url=https://www.livinginternet.com/internet/i/ii_arpanet.htm|website=Living Internet|access-date=2021-03-19}}</ref>