Virusi vya kompyuta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 0 sources and tagging 1 as dead.) #IABot (v2.0.8
No edit summary
Mstari 28:
Hivi karibuni, kampuni ya Sophos imetangaza onyo rasmi watumiaji wa kompyuta kujikinga dhidi virusi vipya vingi na worms. Tangazo lilitoa maelezo juu ya baadhi ya watu wanaofanya kazi kwa juhudi kutengeneza bidhaa pepe haramu za kompyuta. Kampuni ya Sophos ilisema ya kwamba hizi ni ripoti kutoka katika gazeti lililochapishwa nchini Singapore mnamo 14 Januari, siku tu kabla ya shambulio la worm lililofanywa katika Slammer.
 
Graham Cluley ni mtalaamu wa kompyuta katika kampuni ya Sophos. Alisema kwamba kampuni za utengenezaji wa programu za kulinda kmpyuta zinategemea virusi vingi kwa mwaka huu. Alisema watunzi wa virusi wanataka kubuni virusi vingine vyenye nguvu kupita hata hivi vya worm. Hii itaweza kusambazwa kupitia ujumbe elektronikia au njia ya mawasiliano ya kompyuta iitwayo Instant Messaging (Ujumbe wa Haraka kama vile ''Yahoo '',''Messenger'', ''Google Talk'', ''Windows Live Messenger'', na kadhalika). Bwana Cluley aliendelea kusema kwamba aina hii ya virusi husababisha matatizo makubwa sana.
 
Wataalamu wa kompyuta wa Kampuni ya Sophos walisema kuna virusi vya kompyuta takriban 40,000 ambavyo kwa sasa vinafahamika kama vipo. Wataalamui hao waliendelea kusema kwamba takriban virusi vipya 200 hutolewa kila mwezi kupitia Internet.