Aleksanda wa Fiesole : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Aleksanda wa Fiesole''' (Fiesole, karne ya 8 - Bologna, Italia, 823) alikuwa askofu wa mji huo aliyeuawa kwa kutetea...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:39, 4 Juni 2021

Aleksanda wa Fiesole (Fiesole, karne ya 8 - Bologna, Italia, 823) alikuwa askofu wa mji huo aliyeuawa kwa kutetea haki za Kanisa[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Juni[2].

Tazama pia

Tanbihi

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.