Ponta de Escuma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Mnara wa taa wa ponta de Escuma unapatikana akatika kisiwa cha Boa Vista, nchini Cape Verde, Ulijengwa mwaka 1888 ukiwa na ngazi za zege zenye urefu wa mi...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 14:15, 5 Juni 2021

Mnara wa taa wa ponta de Escuma unapatikana akatika kisiwa cha Boa Vista, nchini Cape Verde, Ulijengwa mwaka 1888 ukiwa na ngazi za zege zenye urefu wa mita 5 na taa kwa juu. Mnara wa sasa una mlingoti mrefu wa chuma wenye urefu wa mita 7.9 , roshani na kandili. Kwa mujibu wa shirika la taifa la kijiografia la National Geospatial-Intelligence Agency(NGA) mnara huu upo hai,[1] ukiwa na nishati ya nguvu ya jua ukitoa miako mitano myeupe na myekundu kutokana na uelekeo kwa muda a hadi sekunde ishirini inayoweza kuonekana kutoka umbali wa maili za baharini 11 sawa .[1]

Marejeo

  1. 1.0 1.1 Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named listoflights113