Tofauti kati ya marekesbisho "Shairi"

d
Masahihisho aliyefanya 41.90.40.222 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Rwebogora
(Ubeti)
Tags: Reverted KihaririOneshi Mobile edit Mobile web edit
d (Masahihisho aliyefanya 41.90.40.222 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Rwebogora)
Tag: Rollback
==Ubeti==
Ubeti ni fungu la mistari lenye maana kamili. Ubeti unaweza kulinganishwa na [[aya]] katika maandiko ya kinathari. Mara nyingi ubeti huishia katika kituo. Ubeti mmoja unaweza kuwa na:
*Mstari mmoja (tathmina[[tamonitha]])
*Mistari miwili (tathiniya/[[tathinia]]/uwili): shairi hili huwa na mishororo miwili katika kila ubeti. vina vyake vyaweza kuwa na mtiririko.
*Mistari mitatu ([[tathilitha]]): shairi hili huwa na mishororo mitatu katika kila ubeti. vina vyake huenda vikawa na urari.