Angatando : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Angahewa tabaka.png|300px|thumb|Tabakastrato katika angahewa]]
'''Tabakastrato''' (pia '''angastrato''', kwa [[Kiingereza]]: ''stratosphere'') ni [[tabaka]] mojawapo la [[angahewa]] ya [[Dunia]]. Inaanza takriban [[kilomita]] 8 juu ya uso wa ardhi (nchani; kilomita 18 juu ya [[ikweta]]) hadi kilomita 50.
 
Katika tabakastrato [[halijoto]] inapanda juu pamoja na [[kimo]]. Hii inasababishwa na [[ozoni]] iliyoko. Ozoni hufyonza [[urujuanimno|mnururisho wa urujuanimno]] kutoka [[nuru]] ya [[Jua]] na kuibadilisha kuwa [[joto]].