Upadirisho : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Tags: New redirect Reverted |
d Masahihisho aliyefanya Veverve (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni Tags: Removed redirect Rollback |
||
Mstari 1:
[[File:Priesterweihe in Schwyz 2.jpg|thumb|Katika [[upadirisho]], baada ya askofu, mapadri wote waliopo wanawawekea mikono [[Mashemasi|mashemasi]]. Hapo tu inafuata sala ya kuwaweka wakfu.]]
'''Upadirisho''' ni [[sakramenti]] ya kumwekea [[wakfu]] mtu katika [[daraja]] ya [[upadri]].
[[Kanisa Katoliki]] na [[Waorthodoksi]] wanauona kuwa wa lazima kabisa ili mtu aweze kutoa [[huduma]] za [[kasisi]].
[[Kiini]] cha [[ibada]] hiyo ni [[Askofu]] kumwekea [[mikono]] [[Kichwa|kichwani]] [[shemasi]] na kutoa [[sala]] maalumu ya kumweka wakfu kwa daraja hiyo.
{{mbegu-Ukristo}}
[[Jamii:Liturujia]]
[[Jamii:Sakramenti]]
|