Kapa (pwani) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nyongeza jina la kiswahili
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
 
Mstari 1:
[[Picha:Estero de Remedios-Tolé, Provincia de Chiriquí 06.jpg|thumb|left|300px|Kapa nchini [[Panama]]]]
'''Kapa''' au '''wangwa''' (wengi: nyangwa) ni [[msitu]] unaokua katika [[maji ya chumvi]] kwenye [[ufuko|fuko]] za [[bahari]] za kanda za [[tropiki]] na [[nusutropiki]] (kati ya [[latitudo]] za 25º kaskazini na 25º kusini). Jumla ya maeneo ya kapa duniani kote ilikuwa [[km²]] 137,800 (maili za mradi 53,190) katika nchi na maeneo 118 mwaka [[2000]]<ref>Giri, C. et al. Status and distribution of mangrove forests of the world using earth observation satellite data. Glob. Ecol. Biogeogr. 20, 154–159 (2011).</ref><ref>{{cite web |url=http://www.dpi.inpe.br/referata/arq/2010_09_Marilia/Giri_etal_2010.pdf |title=Status and distribution of mangrove forests of the world using earth observation satellite data |format=PDF |accessdate=2012-02-08 |archivedate=2019-08-08 |archiveurl=https://web.archive.org/web/20190808052128/http://www.dpi.inpe.br/referata/arq/2010_09_Marilia/Giri_etal_2010.pdf }}</ref>.
 
[[Mti|Miti]] inayokua ndani ya nyangwa, kama [[mkoko|mikoko]] na [[mkandaa|mikandaa]], inaweza kumudu maji yenye [[chumvi]] nyingi. Na [[mzizi|mizizi]] yao inaunda [[tawi|matawi]] yanayomea juu ya [[matope]] na kupumua hewa, kwa sababu matope hayana [[oksijeni]] ya kutosha. [[Spishi]] nyingine zinabebwa juu ya mizizi kama [[magongo]].