Papa Silvester I : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Sylvester I and Constantine.jpg|thumb|right|Papa Silvesta I na [[Kaisari]] [[Konstantino Mkuu]].]]
'''Papa Silvester I''' alikuwa [[Papa]] kuanzia [[tarehe]] [[31 Januari]] [[314]] hadi [[kifo]] chake tarehe [[31 Desemba]] [[335]]<ref>https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.html</ref>.
 
Alimfuata [[Papa Miltiades]] akafuatwa na [[Papa Marko]].
Mstari 6:
[[Mtoto]] wa Rufinus, mkazi wa [[Roma]], hatuna habari nyingi za [[maisha]] yake. Ila ni kwamba aliongoza [[Kanisa Katoliki]] kwa [[muda]] mrefu mara baada ya [[Kaisari]] [[Konstantino Mkuu]] kulipatia [[uhuru wa dini]] na kulijengea [[maabadi]] mengi, makubwa na mazuri.
 
Wakati wa [[utawala]] wake ulifanyika [[mtaguso mkuu]] [[Mtaguso wa kwanza wa Nisea|wa kwanza]] ([[Nisea]], leo nchini [[Uturuki]], [[325]]). Yeye hakuhudhuria, ila alituma wajumbe wawili akathibitisha maamuzi yaliyofikiwa.
 
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama [[mtakatifu]].