Papa Agatho : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Agatho.png|thumb|right|Papa Agatho.]]
'''Papa Agatho''' alikuwa [[Papa]] kuanzia [[tarehe]] [[27 Juni]] [[678]] hadi [[kifo]] chake tarehe [[10 Januari]] [[681]]<ref>https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.html</ref>.
 
Inasemekana kwamba alikuwa na [[umri]] wa zaidi ya miaka [[mia moja]] alipochaguliwa kuwa Papa. Alitokea [[Sisilia]].