Tofauti kati ya marekesbisho "Mwanaanga"

d
no edit summary
No edit summary
dNo edit summary
 
[[File:Piers Sellers spacewalk.jpg|thumb|300px|Mwanaanga Piers Sellers nje ya chombo cha [[space shuttle]] tarehe 12 Juni 2006.]]
'''Mwanaanga''' ni [[mtu]] anayerushwa katika [[anga-nje]] yaani [[anga]] lililo nje ya [[angahewa]] ya [[dunia]]. [[Jina|Majina]] mengine yaliyokuwa kawaida ni "kosmonauti" (kwa [[Kirusi]]: космонавт) kwa wanaanga [[Warusi]] na "astronauti" (kwa [[Kiingereza]] astronaut) kwa wanaanga kutoka [[Marekani]]. [[Wachina]] wametumia [[neno]] "taikonauti".
 
Mwanaanga wa kwanza katika [[historia]] ya [[binadamu]] alikuwa Mrusi [[Yuri Gagarin]] kutoka [[Umoja wa Kisovyeti]] aliyerushwa [[tarehe]] [[12 Aprili]] [[1961]] kwa [[chombo cha angani]] [[Vostok]] akizunguka dunia yote mara [[moja]] katika [[muda]] wa [[dakika]] 108.
1

edit