Mnara wa taa wa Ra's Bir : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 1:
'''Mnara wa taa wa Ra's Bir''' ni [[mnara wa taa]] unaopatikana katikahuko nchi yanchini [[Jibuti]], unaunganisha [[Bahari Nyekundu]] na [[Ghuba ya Aden]], ni mnara wa pili unapatikana katika eneo la Ra's Bir.
 
==Historia==
Mnara wa kwanza wa taa wa Ra's Bir ulimalizika kujengwa mnamo mwaka [[1889]] ila kwa sasa mnara huu unatumika kama kituo cha kuongozea Ndege.
Mnamo mwaka [[1952]] mnara mpya ulijengwa karibu kabisa na mnara wa kwanza ukiwa na urefu wa [[mita]] 50,
Mabaharia na [[wavuvi]] kutoka katika [[Bahari Nyekundu]] na [[Ghuba ya Uajemi]] walikuwa wakionakena umbali wa maili 20 kutoka katika eneo la mnara huu.<ref name="Agency2007">{{cite book|last=Agency|first=National Geospatial-Intelligence|title=Sailing Directions - Enroute|url=https://books.google.com/books?id=gQ-7FF8gp5oC&pg=PA166|year=2007|publisher=ProStar Publications|isbn=978-1-57785-760-0|pages=166–}}</ref>
 
Kwa sasa, mnara huu umekarabatiwa na mamlaka ya [[Bandari]] ya nchi ya [[Jibuti]] na kusajiliwa chini ya ''International Admiralty'' na kupewa namba '''D7272''' na pia mnara huu unatambulika na shirika la ''National Geospatial-Intelligence Agency'' (NGA) na kupewa namba '' 113-30952''.