Tofauti kati ya marekesbisho "Amanjena"

28 bytes added ,  miezi 5 iliyopita
no edit summary
'''Amanjena''' maana yake ni '''paradiso yenye amani''' ni hoteli ya kifahari na ya Kupumzikia, iliyoko Palmeraie [[kitongoji]] cha [[kusini mashariki]] mwa [[Marrakesh]], [[Moroko]]. Ilijengwa mnamo mwaka [[2000]] ni moja ya [[hoteli]] za kipekee na ya kwanza katika bara la [[Afrika]]. Ina kozi yenye shimo 21, maktaba iliyojaa vizuri na sehemu ya kuogelea nje katikati ya vichaka vya hibiscus. Mnamo mwezi [[Mei]] mwaka [[2015]], [[David Beckham]] alisherehekea siku yake ya kuzaliwa ya 40 katika hoteli hiyo.
 
== Usuli ==
2,782

edits