Utawala : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 9:
 
Katika [[Biblia]] ni hasa [[Yohane Mbatizaji]] na [[Yesu]] waliotangaza ujio wa [[utawala wa Mungu]] kama kiini cha [[ujumbe]] wao.
UTAWALA katika Biblia unaelezea ndiyo kusudi la Mungu kumuumba mwanadamu ni ili akatawale uumbaji wake katika kitabu cha
Mwanzo 1:27-28 Biblia inasema
"Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.
Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi"
 
Hivyo mwanadamu aliumbwa ili ashike UTAWALA juu ya vile Mungu alivyoviumba.
{{mbegu}}