Kemal Atatürk : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
high resolution image added + Ataturk1930s.jpg
 
Mstari 1:
[[Picha:Atatürk KemalAtaturk1930s.jpg|thumb|right|[[Picha]] halisi ya Atatürk.]]
'''Mustafa Kemal Atatürk''' ([[Thesalonike]], leo nchini [[Ugiriki]], [[1881]]; [[Istanbul]], [[Uturuki]], [[10 Novemba]] [[1938]]) alikuwa [[mwanzilishi]] na [[rais]] wa kwanza wa [[Jamhuri ya Uturuki]]. [[Jina]] lake lilikuwa Mustafa Kemal. Baadaye alipewa [[cheo]] cha "Atatürk", kinachomaanisha "Baba wa Waturuki".