Tofauti kati ya marekesbisho "Papa Alexander VI"

249 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
(Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8)
No edit summary
[[Picha:Alexander VI - Pinturicchio detail.jpg|thumb|right|Papa Aleksanda VI akisali alivyochorwa na [[Pinturicchio]].]]
'''Papa Alexander VI''' ([[1 Januari]] [[1431]] – [[18 Agosti]] [[1503]]) alikuwa [[Papa]] kuanzia [[tarehe]] [[11 Agosti|11]]/[[26 Agosti]] [[1492]] hadi [[kifo]] chake<ref>https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father</ref>. Alitokea [[Jativa]], [[Hispania]]<ref>https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father</ref>.
 
Alimfuata [[Papa Innocent VIII]] akafuatwa na [[Papa Pius III]].
==Maisha==
[[File:Alexander - Bolla "Desiderando nui", dopo il 18 settembre 1499 - 2951587.tif|thumb|''Desiderando nui'', 1499]]
[[Jina]] lake la kuzaliwa lilikuwa '''Roderic Llançol de Borja'''. Alikuwa Papa wa pili kutoka [[familia]] iliyoitwa nchini [[Italia]] '''Borgia'''. [[Papa Kalisti III]], aliyekuwa wa kwanza, alimsaidia [[mpwa]] wake Roderic kupanda [[ngazi]] ndani ya [[Kanisa]]. [[Kijana]] asiyekuwa na mafunzo yoyote wa kiroho, asiyepokea [[daraja takatifu]] ya [[upadri]] bado, alipewa [[cheo]] na mapato ya [[askofu]] mara kadhaa katika [[dayosisi]] mbalimbali.
 
Mwaka [[1456]] alipewa cheo cha [[kardinali]] na mwaka [[1458]] [[upadrisho|akapadrishwa]].
[[Jamii:Waliofariki 1503]]
[[Jamii:Papa]]
[[Jamii:Watu wa Hispania]]