Papa Gregori XIII : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Gregory XIII.jpg|250px|thumb|Papa Gregori XIII.]]
'''Papa Gregori XIII''' ([[Bologna]], [[Italia]], [[7 Januari]] [[1502]]; [[Roma]], [[10 Aprili]] [[1585]]) alikuwa [[Papa]] wa [[Kanisa Katoliki]] kuanzia [[tarehe]] [[13 Mei|13]]/[[25 Mei]] [[1572]] hadi [[kifo]] chake<ref>https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father</ref>. Alitokea [[Bologna]], [[Italia]]<ref>https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father</ref>.
 
'''Papa Gregori XIII''' ([[Bologna]], [[Italia]], [[7 Januari]] [[1502]]; [[Roma]], [[10 Aprili]] [[1585]]) alikuwa [[Papa]] wa [[Kanisa Katoliki]] kuanzia [[tarehe]] [[13 Mei]] [[1572]] hadi [[kifo]] chake.
 
Alimfuata [[Papa Pius V]] akafuatwa na [[Papa Sixtus V]].
Line 18 ⟶ 17:
Papa Gregori XIII alijitahidi kurudisha nyuma mwendo wa [[matengenezo ya Kiprotestanti]]. Alikubali [[dhuluma]] dhidi ya Wakristo wa Kiinjili nchini [[Ufaransa]] tarehe 23 - [[24 Agost]]i [[1572]] ("[[Usiku wa Bartolomeo]]").
 
Alijaribu kukusanya ma[[taifamataifa]] ya [[Ulaya]] dhidi ya [[Dola la Uturuki]] kwa [[shabaha]] ya kukomboa [[mji]] wa [[Konstantinopoli]] lakini hakufaulu.
 
Pamoja na jitihada hizi za ki[[siasa]] alijenga [[taasisi]] ya [[taaluma]]. Aliunda [[Chuo Kikuu cha Kipapa]] huko Roma kinachoitwa kwa heshima yake "[[Gregoriana]]" hadi leo.
 
Kalenda mpya hakuitunga mwenyewe, lakini aliita wataalamu katika [[kamati]] maalumu na kukubali mapendekezo waliyotoa tarehe [[24 Februari]] [[1582]].
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
 
== Viungo vya nje ==
Line 32 ⟶ 34:
[[Jamii:Waliofariki 1585]]
[[Jamii:Papa]]
[[Jamii:Watu wa Italia]]