Mbadili jinsia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Msenge''' (kwa [[Kiingereza]]: [[:simple:Transgender|Transgender]]) ni [[neno]] la kutaja aina ya [[watu]] ambao hujisikia, hujifikiria na kujiona au kujiigiza tofauti na [[jinsia]] zao za kuzaliwa nazo. [[Kundi]] hili dogo hujumlisha watu wanaokusudia [[Tendo la ndoa|wanaojamianakujamiana]] sawa na wengine, yaani [[mume]] na [[mke]], lakini wao ni [[mwanamume]] kwa mwanamume na kujisikia sawa na wenzao ilhali si sawa na wenzao.
 
Wasenge wengi hupenda kujiita [[mashoga]] na kujiona kwamba jinsia waliyozaliwa nayo si sahihi, hivyo wanadai kutambulika katika jamii kwa jinsi wanavyojisikia, kwa mfano waweze kutumia [[Choo|vyoo]] vya jinsia wanayoipenda, kushiriki michezo ya jinsia wanayotaka na kufungwa gerezani pamoja na watu wa jinsia wanayojisikia ingawa sivyo walivyo<ref>https://thefederalist.com/2021/06/24/poll-voters-hate-the-equality-act-when-they-hear-what-it-actually-does/?inf_contact_key=cc4291bcdec480a3b5378486f91fce9b4dfbc39d7283b2cb89d5189540b69330</ref>.
Wasenge wengi hupenda kujiita [[mashoga]] na kujiona kwamba jinsia waliyozaliwa nayo si sahihi.
 
Pia kuna wale wanaoitwa [[:simple:Transsexual|Transsexual]]: hawa ni miongoni mwa watu waliozaliwa na jinsia ya kiume wakataka wafanyiwe [[upasuaji]] ili wawe kama [[wanawake]] au kinyume chake. Mara nyingi wanaume ndio hutaka kuwa na viungo kama vya kike. Hata hivyo hadi sasa jinsia haiwezi kubadilishwa. Upasuaji katika viungo vya uzazi unaishia nje bila kubadili wala kuathiri [[DNA]] ya mhusika <ref>Pope Benedict XVI denounced gender studies, warning that it blurs the distinction between male and female and could thus lead to the "self-destruction" of the human race. He warned against the manipulation that takes place in national and international forums when the term "gender" is altered. "What is often expressed and understood by the term 'gender,' is definitively resolved in the self-emancipation of the human being from creation and the Creator", he warned. "Man wants to create himself, and to decide always and exclusively on his own about what concerns him." The Pontiff said this is humanity living "against truth, against the creating Spirit". Taz. [http://www.vatican.va/roman_curia/congregations/ccatheduc/documents/rc_con_ccatheduc_doc_20190202_maschio-e-femmina_en.pdf Hati ya Idara ya Malezi ya Kikatoliki kuhusu Jinsia] All the same, the Roman Catholic Church has been involved in the outreach to LBGT community for several years and continues doing so in a variety of ways such as through Franciscan urban outreach centers, namely, the "Open Hearts" outreach in Hartford, CT.</ref>.