Wikipedia:Makala kwa ufutaji : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Mstari 306:
==[[Wachagga#Maoni_juu_ya_Wachagga]] ==
Sioni msingi kubaki na kifungu hiki. Hakuna ushahidi wowote, na kwa mkusanyiko wa maoni ambayo mchangiaji alibahatika kusikia, ni ndefu mno. Tunakosa habari za kimsingi kuhusu kundi hilo, lakini matini ndefu ya udaka kuhusu kundi hili. Ifutwe. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 19:46, 15 Januari 2021 (UTC)
:Nadhani ukurasa wote kwa ujumla una marejeo machache sana na unahitaji marekebisho kwenye baadhi ya sehemu. Kipengele kilichopendekezwa kufutwa kina taarifa ambazo zinaweza kua sahishsi ila kinahitaji marejeo.
'''[[Mtumiaji:Aneth David (SLU)|Aneth David (SLU)]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Aneth David (SLU)|majadiliano]])''' 14:20, 2 Julai 2021 (UTC)
==[[Ndelema]] '''IBAKI'''==
|