Vita : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Vita.JPG|thumb|300px|Vita: Mfalme [[Ramses II]] mnamo 1274 KK, Mfalme [[Gustav Adolf]] mnamo 1623, Faru ya Marekani M1 2005]]
'''Vita''' ni mapambano baina ya nchi, [[mataifa]] au angaluangalau vikundi vikubwa vya [[watu]] yanayoendeshwa kwa nguvu ya [[silaha]].
[[File:Dapperheidgrotepier.jpg|thumb|Mchoro wa [[Pier Gerlofs Donia]] na [[Wijerd Jelckama]] wakipigana kwa ajili ya uhuru wa watu.]]
 
Katika vita kuna pande mbili au zaidi. Husababisha mateso, vifo na kuharibika kwa [[mali]] ya watu pamoja na [[mazingira]] [[Uasilia|asilia]].
[[File:Palestinian militant with rifle.png|thumb|250px|Mwanamgambo wa Kipalestina akiwa ameshika silaha aina ya [[M16 rifle]], mwaka 2009.]]
Asili ya vita ilikuwa mapambano kwa silaha kati ya makabila au vijiji mbalimbali. Baada ya kutokea kwa [[madola]] ilikuwa zaidi serikali au watawala wa madola walioamua juu ya vita.
[[Picha:Exercise_Desert_Rock_I_(Buster-Jangle_Dog)_001.jpg|thumb|300px|Mlipuko wa silaha ya nyuklia mwaka 1951.]]
 
== Aina za vita ==
Kuna aina nyingi za vita:
Line 12 ⟶ 16:
* vita vya watu wa sehemu moja ya nchi dhidi ya serikali ya nchi nzima
* vita vya kidini kati ya waumini wa dini au madhehebu tofauti
 
Asili ya vita ilikuwa mapambano kwa silaha kati ya makabila au vijiji mbalimbali. Baada ya kutokea kwa [[madola]] ilikuwa zaidi serikali au watawala wa madola walioamua juu ya vita.
[[Picha:Exercise_Desert_Rock_I_(Buster-Jangle_Dog)_001.jpg|thumb|300px|Mlipuko wa silaha ya nyuklia mwaka 1951.]]
 
== Watekelezaji wa vita ==
Watekelezaji wa vita huitwa [[askari]] au [[wanajeshi]]. [[Historia]] imejua vipindi ambakoambapo [[wanaume]] wote wa nchi fulani walitakiwa kushika silaha na kushiriki katika mapigano. Palikuwa pia na vipindi na [[utamaduni]] ambakoambapo wapiganaji walikuwa watu wa pekee wenye [[jukumu]] hiihilo ama kwa sababu walipaswa kuwa askari kufuatana na [[sheria]] za nchi au kwa sababu walikodiwa kwa [[kazi]] hii.
 
Wanajeshi rasmi huwa chini ya [[kanuni za vita]] lakini sehemu kubwa na vita inashirikisha watu wasofuatawasiofuata kanuni hizihizo kama wanamigambo[[wanamgambo]] hasa katika vita za wenyewe kwa wenyewe.
 
== Silaha ==
Wanadamu wametumia [[akili]] nyingi kuboresha vifaa vya vita, yaani [[silaha]], na mbinu za vita. [[Maendeleo]] ya silaha yamesababisha kupungua kwa [[idadi]] ya askari wanaopigana moja kwa moja lakini uharibifu wa silaha umeongezeka.
 
Silaha za kale zilitegemea [[nguvu]] ya [[mkono]] wa mtu zikifikia [[umbali]] mdogo. Silaha zimebadilika kulenga mahali ambapo ni mbali nazaidi mbalina zaidi. Silaha kali za kisasa zina uwezo wa kuharibu nchi yote; jumla ya [[silaha za nyuklia]] inatosha kuua maisha[[uhai]] yotewote [[duniani]].
 
== Jitihada za kupakanakuepa au kupunguza athari za vita ==
Kutokana na uharibifu mkubwa unaosababishwa na vita palikuwa tena na tena na makubaliano juu ya kanuni za vita. Kanuni hizihizo hulenga kupakanakupunguza hasara inayosababishwa na mapigano. Lakini historia inajaaimejaa pia mifano ambakoambapo kanuni hizihizo zilivunjwa au kupuuzwa.
 
Katika [[karne ya 20]] mataifa mengi yalipatana mikataba ya kimataifa juu ya kanuni za vita. Chanzo ilikuwakilikuwa [[Mapatano ya Geneva]] baada ya kuundwa kwa [[Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu]] mwaka [[1863]].
 
Baada ya [[vita kuu ya kwanza ya dunia]] nchi nyingi ziliunda [[Shirikisho la Mataifa]] kwa shabaha ya kuzuia vita lakini hii ilishindikana baada ya nchi kubwa kama [[Urusi]], [[Ujerumani]] na [[Italia]] kupuuza maazimio yake. Kuundwa kwa [[Umoja wa Mataifa]] kulikuwa jaribio jipya la kuwa na [[taasisi]] ya kimataifa yenye uwezo wa kuzuia vita.
[[Picha:Wereschtschagin2_Vita.jpg|thumb|300px|[[Vasili Vereshchagin]]: Ufaulu wa Vita (1871)]]
== Misemo juu ya vita ==
Line 38 ⟶ 39:
* "Vita ni aina ya siasa kwa kutumia mbinu tofauti." - [[Carl von Clausewitz]]
* "Ukitaka amani andaa vita." - [[Vegetius]]
* "Si vita, bali amani ni baba wa vitu vyote." - [[Willy Brandt]]
* "Vita abadan!" - [[Yohane Paulo II]]
* "Vita ilipokwisha askari alirudi nyumbani. Lakini alipokosa chakula akamwona mwenye chakula. Akamwua. "Lakini huruhusiwi kumwua mtu!" alisema hakimu. "Kwa nini?" aliuliza askari." - [[Wolfgang Borchert]]
 
[[Jamii:Vita|!]]
[[Jamii:Historia]]