Kizulu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
2006,lugha
d #WPWP #WPWPARK
Mstari 1:
[[Picha:Zulu warrior.jpg|thumb|Shujaa wa kabila la Zulu]]
'''Kizulu''' ('''isiZulu''') ni lugha ya [[Wazulu]] inayoongelewa nchini [[Afrika Kusini]], na idadi ya watu wanaokadiriwa kuwa milioni 9-10 hasa katika jimbo la [[KwaZulu-Natal]]. Kizulu huhesabiwa kati ya [[lugha]] za [[Kinguni]] ndani ya [[lugha za Kibantu]].
 
Mwaka wa [[2006]] idadi ya wasemaji wa Kizulu nchini Afrika Kusini imehesabiwa kuwa watu 9,980,000. Pia kuna wasemaji nchini [[Botswana]], [[Lesotho]], [[Malawi]], [[Msumbiji]] na [[Uswazi]]. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] Kizulu iko katika kundi la S40.
 
Wakati wa [[mfecane]] katika [[karne ya 19]] wasemaji wa lugha ya Kizulu zimehama hadi [[Zimbabwe]], [[Zambia]], [[Msumbiji]] na [[Tanzania]] ambakoambapo lugha imebadilika kiasi kuwakikubwa kwa mfano [[Kindebele]] au [[Kingoni]].
 
==Viungo vya nje==