Gaborone : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 99 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q3919 (translate me)
#WPWP #WPWPARK
Mstari 1:
[[Picha: Grandpalm_Gaborone_Botswana.jpg|thumb| Mji wa Gaborone]]
{{Infobox Settlement
|jina_rasmi = Jiji la Gaborone
|picha_ya_satelite =
|settlement_type = Jiji
|subdivision_type = [[Madola|Nchi]]
|subdivision_name = [[Botswana]]
|subdivision_type1 =
|subdivision_name1 =
|subdivision_type2 =
|subdivision_name2 =
|wakazi_kwa_ujumla =
|website =
 
}}
[[Picha:Gaborone 25.92305E 24.68895S.jpg|thumbnail|400px|Picha ya Angani ya Gaborone]]
'''Gaborone''' ni [[mji mkuu]] wa [[Botswana]] ikiwa na wakazi 186,000 (mwaka 2001). Iko kusini-mashariki ya nchi.
 
Mji huu ulianzishwa kwenye makao ya chifu [[Kgosi Gaborone]] wa [[BaTlokwa]]. Waingereza walijenga kituo kidogo cha kiutawala kando ya kijiji cha chifu. Makao haya madogo yalikua ghafla wakati wa uhuru wa Botswana ilipoamuliwa kujenga mji mkuu mpya. [[Botswana]] iliwahi kuwa na mji wake mkuu wa kikoloni ndani ya eneo la [[Afrika Kusini]] katika mji wa [[Mafeking]] ilitawaliwa na [[Uingereza]] kwa jina la "Bechuanaland Protectorate."
 
Uhuru ulipokaribia viongozi waliona haja ya kuwa na mji mkuu ndani ya Botswana wakaamua kupanua Gaborone.
Line 24 ⟶ 9:
 
Leo hii Gaborone ni mji wa kisasa kabisa inayoonyesha maendeleo ya kiuchumi wa Botswana.
Jumuiya ya Maendeleo ya [[Afrika Kusini]] (Southern African Development Community (SADC)) ina makao makuu yake Gaborone. Kuna pia [[Chuo Kikuu cha [[Botswana]].
 
== Marejeo ==