George Lucas : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
'''George Walton Lucas, Jr.''' (amezaliwa tar. 14 Mei, 1944 mjini Modesto, California) ni mwongozaji, mtayarishaji na mwandikaji wa script wa filamu wa Kimarekani.
 
Image expansion..
Mstari 1:
[[Image:George_Lucas.jpg|thumb|right|300px400px|George Lucas.]]
'''George Walton Lucas, Jr.''' (amezaliwa tar. [[14 Mei]], [[1944]] mjini [[California|Modesto, California]]) ni mwongozaji, mtayarishaji na mwandikaji wa script wa filamu wa [[Marekani|Kimarekani]]. Huenda akawa anafahamika zaidi kwa kutayarisha mfululizo wa filamu za Star Wars na mfululizo wa filamu za Indiana Jones.