Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 29:
Habari asante kwa michango yako lakini kuna kasoro nzito hasa upande wa marejeo (footnotes / references)
# Makala mengine hujaweka chanzo chochote. Hii ni pia sababu ya kufuta makala yako. (mfano [[Everton F.C.]], [[Blackburn Rovers F.C.]], [[Blackburn Rovers F.C.]], [[Mnara wa taa wa Ponta do Barril]], )
# ukiona tatizo makala za enwiki hutumia marejeo tata ambayo hayaleti matokea hapa swwiki, angalia ukurasa wa [[Wikipedia:Mwongozo (Kutaja vyanzo)]], sehemu kuhusu marejeo tata ufuate maelezo, karibu kuuliza maswali!
#Naomba uthibitishe umesoma na kuelewa ninachoandika. Halafu nenda usahihishe, usiendelee kutunga makala mapya kabla ya kusahihisha! '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 17:39, 4 Julai 2021 (UTC)