Davinson Sanchez : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
#WPWP #WPWPARK
 
Mstari 1:
[[Picha: FWC_2018_-_Round_of_16_-_COL_v_ENG_-_D_Sánchez.jpg|thumb| Davinson Sanchez]]
'''Dávinson Sánchez Mina''' (alizaliwa [[12 Juni]] [[1996]]) ni [[mchezaji]] wa [[soka]] wa [[Colombia]] ambaye anacheza katika [[klabu]] ya [[ligi kuu]] ya [[Uingereza]] iitwayo [[Tottenham Hotspur]] na [[timu ya taifa]] ya [[Colombia]].