Kelechi Iheanacho : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d #WPWP #WPWPARK
 
Mstari 1:
[[Picha:Kelechi Iheanacho 24-02-15 03.jpg|thumb|Kelechi Iheanacho]]
'''Kelechi Ahadi Iheanacho''' (alizaliwa [[3 Oktoba]] [[1996]]) ni [[mchezaji]] wa [[soka]] wa [[Nigeria]] ambaye anacheza katika [[klabu]] ya Ligi Kuu ya [[Uingereza]] iitwayo Leicester na [[timu ya taifa]] ya Nigeria.