Chuchunge : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Sahihisho
 
Mstari 52:
Chuchunge huwa na mabadiliko kadhaa ili kujilisha kwenye uso wa maji. [[Jicho|Macho]] na [[pua]] ni juu ya [[kichwa]] na taya la juu ni sabili, lakini taya la chini siyo. Pamoja na umbo lao lililonyooshwa na mkusanyiko wa mapezi kuelekea nyuma, mabadiliko haya yanaruhusu chuchunge ili kujasisi, kukamata na kumeza chakula kwa ufanisi.
 
==MsambazoMsambao na makazi==
Chuchunge huishi bahari vuguvugu, hasa karibu na uso, katika [[Bahari ya Atlantiki|bahari za Atlantiki]], [[Bahari ya Hindi|Hindi]] na [[Bahari ya Pasifiki|Pasifiki]]. Idadi ndogo hupatikana katika milango ya mito. Takriban spishi zote za chuchunge wa baharini zinajulikana kutoka kwenye pwani za bara, lakini baadhi huenea katika Pasifiki ya Magharibi na Katikati, na spishi moja ni ya kienyeji katika [[Nyuzilandi]]. ''[[Hemiramphus]]'' ni jenasi ya bahari za dunia yote.