Tondi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nyongeza rejeo
Sahihisho
Mstari 70:
Tondi wana mwili kama mkunga. [[Mkia]] wao una ncha kali au butu. Takriban [[spishi]] zote zina jozi nne za sharubu. [[Pezi lenye shahamu]] halipo. [[Pezi]] la mkia limeundwa kwa kujiunga kwa [[pezimgongo]] la pili, [[pezimkia]] na [[pezimkundu]] katika pezi moja bila pengo. Baadhi ya samaki hawa huweza kusababisha [[kidonda|vidonda]] vinavyoumia; kudungwa na [[Tondi Milia|tondi milia]] kunaweza kupelekea kifo. Hujilisha kwa sakafu ya maji na kutumia sharubu pande zote za [[kinywa]] chao ili kugundua [[chakula]].
 
==MsambazoMsambao==
Tondi wanaoishi baharini wanatokea [[Bahari ya Hindi]] kutoka pwani ya [[Afrika ya Mashariki]] mpaka [[Australia]], [[Japani]] na [[Fiji]] katika [[Bahari ya Pasifiki]]. Takriban nusu ya spishi zote hutokea maji baridi katika Australia na [[Nyugini]].