Fupefupe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nyongeza rejeo
Sahihisho
Mstari 22:
Fupefupe wanaweza kukua hadi [[m]] 1.80 lakini mara nyingi hawana urefu wa zaidi ya m 1. Wanaweza kufikia uzito wa [[kg]] 14 na umri wa miaka 15. Wana [[mwili]] uliorefuka ambao umefinywa na kuwa na umbo linganifu na laini, [[pezi]]mgongo moja, mapeziubavu yenye umbo la [[bawa|mabawa]] ya [[kozi]] na pezimkia kubwa kiasi wenye [[panda]]. [[Kinywa]] ni kidogo na hakina [[jino|meno]]. Rangi ya mwili ni [[kijani]]-[[zeituni]], mbavu zina rangi ya [[fedha]] na mapezi yana kingo [[nyeusi]]. Wana [[mwale|miale]] myororo 13-17 mgongoni, miale myororo 8-10 mkunduni na miale 31 mkiani.
 
==MsambazoMsambao na makazi==
Fupefupe hutokea [[Bahari ya Hindi]] na [[Bahari ya Pasifiki|ya Pasifiki]] kutoka [[Afrika Kusini]] mpaka [[Hawaii]] na [[Visiwa vya Markesas]], kutoka [[Kalifornia]] mpaka [[Visiwa vya Galapagos]], kaskazini mpaka [[Japani]] na kusini mpaka [[Australia]]. Huishi katika maji ya bahari karibu na [[pwani]] ya [[kisiwa|visiwa]] na kando ya [[tako la bara|matako ya mabara]], kwa kina cha m 1 hadi 30. Pia mara nyingi huingia ndani ya [[mlango wa mto|milango ya mito]] na [[mto|mito]] yenyewe.