Kuponi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya 77.181.173.20 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Tag: Rollback
#WPWP #WPWPARK
Mstari 1:
[[Picha:Tem_phiếu_thời_bao_cấp.jpg|thumb|Kuponi]]
 
'''Kuponi''' (kutoka [[Kiingereza]] "coupon"), katika mada ya [[soko]] na [[uuzaji]], ni [[tiketi]], kijifurushi ama kijikaratasi ambacho kinaweza kukombolewa kwa [[fedha]] na kurejeshwa wakati wa [[ununuzi]] wa [[Kitu|vitu]]. Kuponi ni njia moja ya kuwapa [[mteja|wateja]] [[punguzo]] la [[bei]] kwa [[bidhaa]] wanazozinunua.