Bima : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
#WPWP #WPWPARK
Mstari 1:
[[Picha:Algemeene_Verzeekering-Maatschappij_Providentia.jpg|thumb|Bima]]
 
 
'''Bima''' ni njia ya ulinzi wa kiuchumi dhidi ya hasara ya kifedha au hata dhidi ya [[kifo]] ambayo [[watu]] au [[kampuni]] wanafuata kwa kulipa kiasi fulani kwa shirika la bima kadiri ya [[mkataba]] maalumu, hivi kwamba shida ikitokea shirika litoe [[fidia]].