Wali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: thumb|250px|Wali na kuku kwenye sahani '''Wali''' ni nafaka iliyopikwa kama chakula na hasa mbegu wa mpunga unaoitwa mchele ukipikwa tayari. Neno "wali" h...
 
No edit summary
Mstari 2:
'''Wali''' ni nafaka iliyopikwa kama chakula na hasa mbegu wa [[mpunga]] unaoitwa [[mchele]] ukipikwa tayari.
 
Neno "wali" hutumiwa pia kwa nafaka za [[mtama]] au [[ngano]] ikipikwa lakini kwa kawaida watu huelewa wali ya mchele.
 
Wali ni kati ya vyakula vikuumuhimu zaidi duniani. Kama chakula cha watu inashindana kidunia na [[ngano]]. Hasa watu wa [[Asia ya Mashariki]] na [[Asia ya Kusini]] hutegemea wali kama chakula cha kila siku.
 
Katika [[Afrika]] wali ni chakula cha pekee kwa watu wengi isipokuwa pale ambako mpungwa unalimwa. Nje ya hapo wali ni chakula cha sikukuu au cha nafasi ya pekee au ya matajiri. Katika Afrika ya Mashariki chakula kinachopendwa ni kuku na wali au samaki na wali. Chakula cha pekee kabisa ni [[pilau]] ambayo ni wali inayochanganywa na viungo maalumu na nyama.