Mfereji wa Suez : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
 
Mstari 21:
== Umuhimu wa mfereji wa Suez ==
[[Picha:Suez njia baharini.png|thumb|Njia za usafiri baharini kabla na baada ya kupatikana kwa Mfereji wa Suez]]
Mfereji wa Suez unafupisha [[umbali]] wa [[safari]] ya meli kati ya Ulaya na Asia kwa kilomita 8,000 hivi; kwa mfano safari baina ya [[Rotterdam]] ([[bandari]] kubwa ya Ulaya) na [[Dubai]] ni takriban kilomita 20,900 na [[siku]] 24 kwa njia ya kuzunguka Afrika; kupitia Mfereji wa Suez ni kilomita 12,000 na siku 12 pekee.<ref>{{Cite web|url= http://www.worldshipping.org/pdf/suez-canal-presentation.pdf| title= The Suez Canal - A vital shortcut for global commerce|publisher= [[World Shipping Council]]|accessdate= 2020-09-11|archivedate= 2018-04-22|archiveurl= https://web.archive.org/web/20180422172437/http://www.worldshipping.org/pdf/suez-canal-presentation.pdf}}</ref>
Mfereji umeharakisha na kurahisisha usafiri kati ya Ulaya, Asia na [[Afrika ya Mashariki]]. Zipatao meli 15,000 zinapita kwenye mfereji kila [[mwaka]].