Wali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 7:
 
Katika [[Afrika]] wali ni chakula cha pekee kwa watu wengi isipokuwa pale ambako mpungwa unalimwa. Nje ya hapo wali ni chakula cha sikukuu au cha nafasi ya pekee au ya matajiri. Katika Afrika ya Mashariki chakula kinachopendwa ni kuku na wali au samaki na wali. Chakula cha pekee kabisa ni [[pilau]] ambayo ni wali inayochanganywa na viungo maalumu na nyama.
 
==Upishi==
Kuna njia mbalimbali za kupika wali. Mara nyingi hupikwa katika maji. Wapishi hupima kikombe kimoja cha mpunga na vikombe viwili vya maji na kupika hadi maji yamekwisha basi wali imeiva. Wengine hupendelea kuonja mra kwa mara mpaka wameridhika. Kuna pia sufuria za umeme hasa kwa upishi wa wali.
 
Katika nchi kama Hispania mpunga kwanza hukaangwa katika mafuta na maji kuongezwa baadaye. Watu wengine wanapendelea kutumia supu badala ya maji kwa kuongeza utamu wa wali.
 
Aina mbalimbali za mpunga huleta vyakula tofauti. Kuna wali ianyotokea laini sana na aina nyingine inatokea imara zaidi.