Fahari ya mtu mweusi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Removing Mural_Malcolm_X_-_Ella_Baker_-_Martin_Luther_King_-_Frederick_Douglass.jpg, it has been deleted from Commons by Explicit because: per [[:c
 
Mstari 1:
[[file:Mural Malcolm X - Ella Baker - Martin Luther King - Frederick Douglass.jpg|250px|thumb|Kutoka kushoto kwenda kulia: [[Malcolm Shabazz]] (Malcolm X), [[Ella Baker]], [[Martin Luther King]], [[Frederick Douglass]]. Hawa wanatazamwa kuwa wasimamiaji wakuu wa "fahari ya mtu mweusi".]]
'''Fahari ya mtu mweusi''' (kwa Kiingereza: ''Black pride'') ni [[jina]] la [[harakati]] zilizoanzishwa kuzipiku [[tamaduni]] na [[itikadi]] za [[Mzungu|Kizungu]] na kuhamasisha [[watu weusi]] kufurahia tamaduni zao za [[asili]] na kushikilia urithi wao wa [[Afrika|Kiafrika]].<ref name="Tyson2001">{{cite book|author=Lois Tyson|title=Learning for a Diverse World: Using Critical Theory to Read and Write about Literature|url=https://books.google.com/books?id=eNe_wvUh3ewC&pg=PA209|year=2001|publisher=Psychology Press|isbn=978-0-8153-3774-4|pages=208–209|quote=Because the dominant white culture in America treated African Americans as subalterns rather than full American citizens and full human beings, the Black Pride movement encouraged black Americans to look to Africa for their cultural origins.}}</ref>