Tofauti kati ya marekesbisho "Boris Leonidovich Pasternak"

#WPWP #WPWPARK
(+ picha)
(#WPWP #WPWPARK)
 
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[Picha:Ilya-ilf-pasternak-1Boris Pasternak 1969.jpg |thumbnail|right|Boris Pasternak]]
 
'''Boris Leonidovich Pasternak''' ([[10 Februari]] [[1890]] – [[30 Mei]] [[1960]]) alikuwa mwandishi na mshairi kutoka nchi ya [[Urusi]]. Ingawa aliandika mashairi kwa ujumla, anajulikana hasa kwa [[riwaya]] yake "Daktari Zhivago" iliyotolewa mwaka wa 1956. Mwaka wa 1958 alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fasihi''' lakini aliikataa kwa sababu ya upinzani katika nchi yake.