Conrad Michael Richter : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
 
 
'''Conrad Michael Richter''' ([[13 Oktoba]] [[1890]] – [[30 Oktoba]] [[1968]]) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya [[Marekani]]. Hasa aliandika hadithi fupi na [[riwaya]] kuhusu historia ya Marekani. Mwaka wa [[1951]], alipokea '''[[Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi]]''' kwa riwaya yake ''The Town'' ("Mji").