Chanakya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 69 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q9045 (translate me)
d #WPWP #WPWPARK
 
Mstari 1:
[[Picha:Chanakya artistic depiction.jpg|thumb|Picha ya kuchora ya Chanakya]]
'''Chanakya''' ([[Kisanskrit]]: चाणक्य ''Cāṇakya'') (mnamo [[350 KK]] - [[283 KK]]) alikuwa mshauri na waziri wa mfalme [[Chandragupta Maurya]] (mnamo [[340 KK]] - [[293 KK]]) nchini [[Uhindi]]. Chanakya alimsaidia Chandragupta kuunda utawala wa [[nasaba ya Maurya]].