Culture : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
#WPWP #WPWPARK
 
Mstari 1:
[[Picha:WAÏPA_JOSEPH_HILL_CULTURE.JPG|thumb|Waipa Saberty na Joseph Hill]]
 
'''Culture''' ni kundi la muziki ya [[reggae]] kutoka nchi ya [[Jamaika]] lililoanzishwa mwaka wa [[1976]]. Jina la mwanzoni la kundi hilo lilikuwa ni "African Disciples". Kundi la Culture linaaminika kuwa ni kati ya makundi wanaopiga muziki halisi ya reggae yenye mafunzo na busara. Waanzilishi wa kundi hilo ni [[Joseph Hill]], mwimbaji mwongozaji, [[Kenneth Dayes]], mwitikiaji, na [[Albert Walker]], mwitikiaji. Wimbo wao wa "Two Sevens Clash" uliorekodiwa mwaka wa 1977 katika studio ya [[Joe Gibbs]], na uliwapatia umaarufu mkubwa na kuwaweka kwenye ramani ya muziki ya reggae duniani.