Malai : Tofauti kati ya masahihisho
no edit summary
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 3:
'''Malai''' (pia '''krimu''' kutoka [[Kiingereza]]: ''cream''), ni [[Mafuta (chakula)|mafuta]] yanayopatikana kiasili katika [[maziwa]] ya [[wanyama]]. Baada ya kukamua maziwa, malai hukusanyika kwenye uso wa maziwa kama utandu. Utandu huo hutolewa na kukusanywa.
Malai hutumiwa kutengeneza [[samli]], [[siagi]] na [[jibini]]. Pia katika [[upishi]] na kutengeneza [[vyakula]] mbalimbali kama
|