Futi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Futi''' ([[kiing.]] ''foot'') ni kipimo cha urefu wa 30.48 [[sentimita]] au [[inchi]] 12. Asili yake ni urefu wa sehemu ya kanyagio ya mguu wa mwanadamu. Si kipimo cha SI bali ni [[kizio]] cha [[vipimo vya Uingereza]].
 
Kifupi chake ni ft. au inaandikwa hivyo: futi 5 inchi 11 = 5' 11".
Mstari 7:
Kipimo cha futi kiliingia katika Kiswahili tangu [[ukoloni]] wa [[Uingereza]]. Kimechukua nafasi ya vipimo asilia vya [[Kiswahili]] kama [[shubiri]] (takriban 25 [[cm]]) na [[ziraa]] (takriban 50 [[cm]]).
 
Kihistoria urefu wa futi ilikuwa tofauti kati nchi na nchi. Leo hii inatumiwa zaidi [[Marekani]] lakini pia kwa uzoefu katika nchi zinazotumia sana lugha ya [[Kiingereza]] hata kama wameshahamiarasmi zimeshakubali vipimo sanifu vya kimataifa [[SI]].
 
*futi 1 = [[inchi]] 12