Kanuni ya Pauli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 55 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q131594 (translate me)
#WPWP #WPWPARK
Mstari 1:
[[Picha:Wolfgang_Pauli_young.jpg|thumb|Kijana Wolfgang Pauli]]
 
 
'''Kanuni ya Pauli''' ilitangazwa mwaka wa 1925 na [[Wolfgang Pauli]]. Inahusu [[elektroni]] za atomu. Kila elektroni ina tarakimu nne za [[kwanta]]. Kanuni ya Pauli inadai kwamba tarakimu hizo nne haziwezekani kuwa sawa kwa elektroni mbili ndani ya atomu moja.