Maili : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Maili''' ni kipimo cha urefu. njeSi yakipimo sanifu cha kimataifa [[SI]] bali ni [[kizio]] cha [[vipimo vya Uingereza]]. Zamani ilitumiwa sana lakini siku hizi matumizi yamepungua sana.
 
Maili si kipimo sanifu cha kimatifa hivyo urefu wa maili moja ni tofauti kati ya nchi na nchi hata kama ni maili ya nchi kavu au maili ya baharini.