Romario : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
#WPWP #WPWPARK
 
Mstari 1:
[[Picha:Romario Williams (30079139265).jpg|thumb| mchezaji akiwa uwanjani]]
'''Romario''' (majina kamili: Romario de Souze; amezaliwa [[29 Januari]] [[1966]]) ni [[mchezaji]] mstaafu wa [[mpira wa miguu]] wa nchi ya [[Brazil]] na kwa sasa ni [[mwanasiasa]] wa Brazil hapo awali alipata umaarufu duniani kwa kuwa mshambuliaji wa timu ya Brazil na ni mmoja wa wachezaji wakubwa duniani. Romario aliingiza timu ya Blazil katika kombe la dunia la FIFA na kuibuka na ushindi kombe la mwaka 1994, akachaguliwa kuwa mchezaji bora wa dunia na kuzawadiwa mpira wa dhahabu mwaka huo.