Miporomoko ya ardhi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
#WPWP #WPWPARK
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Weg van Sent, dorp in kanton Graubünden in Zwitserland naar Val Sinestra 09-09-2019. (d.j.b) 04.jpg |thumb|Miporomoko ya ardhi]]
'''Miporomoko ya ardhi''' (kwa [[Kiingereza]] ''landslide'') hutokea pale ambako miamba, [[mchanga]], au vifusi vinaposonga chini kwenye mteremko. Mitiririko ya vifusi, ambayo pia huitwa mimonyoko ya [[udongo]], ni aina ya mporomoko wa [[ardhi]] inayotokea kwa kasi sana yenye mwelekeo wa mfereji.
 
==Kisababishi cha miporomoko ya ardhi na mitiririko ya vifusi==
Miporomoko ya ardhi husababishwa na vurugu katika uthabiti asilia wa mteremko. Zinaweza kuandamana na [[mvua]] kubwa au kufuata [[ukame]], mitetemeko ya ardhi au kufoka kwa volkano. Mimomonyoko ya udongo hutokea maji yanapokusanyika kwa haraka ardhini na kusababisha kufura kwa mwamba, ardhi, na vifusi vilivyojaa maji. Mimonyoko ya udongo huanza kwa miteremko mikali na inaweza kuchochewa na maafa ya asilia. Maeneo ambayo mioto inayoenea kwa kasi au ubadilishaji wa ardhi na binadamu imeharibu mimea katika miteremko yana uwezekano mkubwa hasa wa miporomoko ya ardhi wakati wa na baada ya mvua kubwa.
 
==Tishio za kiafya kutokana na miporomoko ya ardhi na mitiririko ya vifusi==
Mstari 9:
 
*Maji yanayosonga kwa kasi na vifusi vinavyoweza kusababisha kiwewe;
*Nyaya za stima zilizovunjika, [[maji]], [[gesi]], na laini ya maji taka zinazoweza kusababisha jeraha au maradhi; na
*Barabara na mifumo ya reli iliyokatizwa inayoweza kuhatarisha magari na kukatiza usafiri na kufikia huduma ya [[afya]].
 
==Sehemu zilizo hatarini==